Kutokana na tahadhari ya wataalamu wa hali ya hewa kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño mwaka huu, tunaomba Serikali na mamlaka husika kuongeza juhudi za kutoa elimu na tahadhari kwa wananchi ili waweze kujiandaa mapema.
Pia, kuna wasiwasi kuhusu hali ya miundombinu ya mifereji ya maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.