Sio chuki kiongozi vifo vingi vimetokea dar. Na kawaida wakaazi wengi wa dar ni waislam. Sina chuki maana nina ndugu wa damu ni waislam pure. Mke wangu familia yao wote ni waislam. Washikaji zangu wa kusaidiana wakati wa shida na raha ni waislam pure ni classmate waislam wengi tu tunawasiliana...
Wenye biashara wana bima italipa wala usiwe na Shaka na hilo ata mwendokasi zote wana bima. Na waliouawa wengi tu ni waislam akiwemo sheikh majini. Nae alikua kibaka? Sio vizuri hivyo kiongozi acha wakatoliki wawaombee ata kibaka anasitahili kuombewa.
Mwendawazimu wewe kila atakae pinga hoja zako za jw basi amekua fisadi au mnufaika wa mfumo. Wakati wa Dp world uliongwa ukawa unashinda hapa kuwatetea. Uko kama mwanamke wa bar huna msimamo na huna ulijualo. Kama ni hao jeshi si wampindue sasa kwa nini wanataka wananchi ndo wawafanyie hiyo...
Wewe jamaa unachosha sasa na hiyo jwtz. Watanzania tunataka mabadiliko ndio lakini tunaitaji uongozi wa kiraia. Hao jwtz wabaki na kazi yao wanayoijua. Alafu ebu toka nje na wewe utume japo picha ya eneo ulipo na waandamanaji sio kila mara uko jf utazani una ubia na max.
Ulimchukia JPM kwa...
Kiranga Mbona unapenda kukuza mambo? Watu wamestahajabiswa na kauli za majaliwa na ndo wanahoji kuna nini nyuma ya pazia? Kauli mbili tofauti ndani ya muda mfupi. Inawezekana alitaka tu kuendelea na ubunge. Suala la yeye kua pm ni uhamuzi wa mteuaji.
wewe big show uko tayari kutoa hilo tako lako kubwa kama mamlaka inayokuongoza ilikitaka au utatunisha misuli kulinda heshima yako? Point ni kua sio kila isemacho au ifanyacho hiyo mamlaka ni sahihi kwa hiyo wakubali kukosolewa wapokua hawako sahihi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.