Recent content by massa danata

  1. M

    JamiiForums Tanzania Memba Mpya

    Nawashukuru kwa kuniruhusu kushiriki nanyi humu. Nimekuwa mgeni fiche kwa miaka mingi, na ni leo nilipopata ujasiri wa kujisajilisha. Haja yangu haswa ni kuimarisha kiSwahili changu. Huenda nitabarikiwa kupata watoto miaka inayokuja na ninatamani sana kuwafunza kiSwahili ili wao pia na waweze...
Back
Top Bottom