Ndugu zangu habari za leo??
Samahani nina shida kwenye simu yangu ya iPhone 6plus S, yaani kuchaji ni kwa shida sana maana chaja mpaka uikunje.. Nikaacha kuitumia kwa muda wa kama miezi miwili hivi. Je naweza kupata msaada wa kujua shida itakuwa ni mfumo wa kuchaji wa simu au chaja zake ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.