Recent content by masokolindo

  1. masokolindo

    Huu utaratibu wa kuzikana kwenye masanduku ulianzia wapi?

    Ngoja waje mana na mm najiuliza na nataka kujifunza pia hilo
  2. masokolindo

    Ni aibu Hospitali ya Muhimbili kukosa maji ya kufua mashuka

    Nipo hospital ya muhimbili wodi ya watoto nimekuja kumuangalia mtoto wa dada angu amelazwa hapa nakuta asubuhi wamelala bila chandarua nauliza vp hakuna chandarua yeye aliuliza akajibiwa kuwa jana maji hayakutoka hivyo walishindwa kufua vyandarua vya wodini sababu hakuna maji hizo shuka...
  3. masokolindo

    Kutafuta maisha Zanzibar

    Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuwa na ndoto tangu zamani kuja kutafuta maisha visiwani hususani unguja nimepata milioni mbili sasa nahitaji wajuzi wa visiwa hivi wanijuze kipi ninachopaswa kutimiza ili kuwekeza kwa kiasi nilichopata kwa biashara yoyote ambayo naweza...
Back
Top Bottom