Ki utendaji suala la uteuzi hua siri kubwa sana,taarifa alipewa lakini ni kipindi kifupi sana kabla ya bahasha kufika kwa spika.
Inafanyika hvyo ili Mh ajiridhishe kama maamuzi yake mhusika anayapokea.
Kwa utaratibu huu yaonekana Jaji Lubuva anaongozwa(akili tegemezi)alikua wapi kukemea kauli hyo cku zote? au anafikiri watanzania bado tu wavivu kupambanua mambo? kwa taarifa yake mwaka huu mchele una chuya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.