Recent content by mashatiboyee

  1. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    pamoja na kuwa nashinda ndani ila hela napata, kuna watu nawafanyia kazi kwa pc yangu tu nyumbani
  2. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    sijui kama ni ya kitoto ningeisema hapa ema humu kuna watu wengi watanijua na huwa wanaona ndoa yetu ni mfano hata marafiki wa mke wangu huwa wanatusifia sana
  3. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    mkuu umetumia muktadha upi kuona nmedanganya? napata faida gani kudanganya ungejua siku nzima ya leo hadi naleta tatizo hili kwa ID mpya ni kwa sababu linanitafuna sana
  4. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    asante mkuu kwa ushauri, huu ni ukweli mchungu natakiwa kuumeza mimi bila kushauriwa na mtu kesho natoka hapa nyumbani nitakuwa natoa huduma za mtoto tuu ndoa imeshanishinda hii
  5. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    neno hapana uhakika hapa limetumikaje? matumizi nyumbani ni mimi natoa japo kutokana na shida hela za matumizi yake binafsi sijampa kwa muda kidogo
  6. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    mkuu me ni wa rombo mashati hapa hadi vunjo siyo umbali mrefu ki hivyo pia naye ni mchaga mwenzangu
  7. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    kama hilo ni lengo lake la dhati basi aniambie tuu, tangu jana wazo pekee nililonalo ni kubwagasha haya maniajee (ndoa)
  8. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    mkuu sina tabia ya uvivu, napambana sana hapa home natoa hela ya matumizi na pia nahangaikia kazi sehemu nyingine
  9. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    asante mkuu nmefikiria kuondoka mimi sababu tunaishi nyumba ya kupanga kuna kiwanja nilinunua kwa ajili ya ujenzi ila nmeishia kumwaga tofali tu kwanza
  10. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    nilimuuliza kesho yake tukiwa tumetulia na mimi nmpoa na hasira kuhusu hili swala akajiona yuko sawa still, leo nmeshinda nalo linanitafuna sana moyoni nmeamua kuja kulitema huku
  11. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    nme nilifikiria hili ila mimi haiba yangu ni ngumu sana kujichanganya na watu na watu niaoweza kujichanganya nao wengi wanakuwa kazi zao mchana
  12. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    nkuu hapo ni karibu na nyumbani mashati ndiyo maana
  13. mashatiboyee

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili. Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante...
Back
Top Bottom