Recent content by Maselenge

  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk: Alichofanya Mpina ni utovu wa nidhamu mbele ya Rais na Mwenyekiti wa CCM

    Huko Bunge Hivi ni shule Gani inafundisha Mbunge kuwasilisha matatizo mbele ya Rais ni utovu wa nidham tuna Nchi ya hovyo kabisa na watu wa hovyo kama ninyi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji mwingine aibuka, asema Rais Samia hawezi kukwepa lawama za wanaouawa na kutekwa

    Naona kisu kimeingia kwenye mfupa Ukweli utabaki Ukweli tu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reforms No Election
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

    Ukiona kiongozi anafunga komenti maana yake Nini hayupo pale kwa ajili ya wananchi,yupo pale kwa ajili ya aliyemuweka.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

    Hawajiamini pelekeni moto
  6. M

    JamiiForums Tanzania PPPTZ: Kampuni ya Kifaransa ya ALSTOM kujenga reli za juu kutoka Posta mpaka magomeni kwenda mlimani City kisha Tegeta

    Huu ni usanii mkubwa mazungumzo Gani ambayo hayasemi wanaanza lini kujenga hapa kafulila anajifanyia Promo kwa Mama si unajua mwaka wa uchaguzi huu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania No Reforms No Election yaanza kuunguza, Safari za Ulaya zaanza kuwa Chungu

    No reforms no election
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

    Wana jamii forums hash tag ya No reforms no election imetibua Hali ya hewa wanufaika wa keki ya Taifa wameanza kutoa milio eti ni upuuzi,kanyagieni hapo hapo,Kila comment ya machawa tia Neno no reforms no election,twende sasa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

    No reforms no election full stop
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna shida Rais kuwaita Wazee na viongozi wa Dini IKULU haraka kuzungumza yanayoendelea nchini?

    Awaite wa Nini Wakati yote yanaoendelea yako ndani ya uwezo wake ni suala ya yeye kuyafanyia kazi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameanza kujitambua, post ya Diamond huko Instagram yajobiwa na maneno: NO REFORMS, NO ELECTION

    Nimeona Sehemu mmiliki wa Msigwa Bus ameanza kutoa milio kwamba ni upuuzi anataka kuwapangia watu bando lao,vijana kazeni hapo hapo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoto wa Shetta, Qailah: Wote Wanaomtukana Rais Samia tutapita nao mazima

    H Ko mbeleni tutakuwa na kizazi Cha ovyo sana,kwani wanafundishwa kumkosoa Rais ni kumtukana enewe No reforms no election
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kulikua na sababu gani ya kuweka bango lenye picha ya Rais Samia na nembo ya CCM kwenye hii boti?

    Zamani kupanda cheo ilikuwa lazima uwe na vigezo,Sasa hivi watendaji wote lazima uwe pro Chawa ndiyo utakula mema ya Nchi,ukishupaza shingo tu utakula jeuri yako
  14. M

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reforms no election
  15. M

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reforms no election
Back
Top Bottom