Recent content by Masanja Kisinza

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Changamoto ni COMMITMENT, itakuwa kama Kenya maana mifumo ikiharibiwa haitakuwa salama kwa maana haitatenda haki
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Awakening mental health issues in Tanzania

    Safi sana, ukweli hili tatizo tulipofikia inastahili kila Kituo Cha Afya basi kuwa na DAKTARI BINGWA WA MENTAL HEALTH🙏🙏 Hali ni tete
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile yenye Siasa safi

    TANZANIA TUITAKAYO. Tukumbuke jina Tanzania halikuwepo kabla ya 26/4/1964, lakini ardhi na mipaka yake ilikuwepo. Hivyo pamoja na uumbaji wa Mungu, lakini utashi wa mwanadamu uliweza kuamua namna ya kuitawala Dunia kama ambavyo tulivyo. Tukirejea historia duniani kote, Mungu hakuumba CHAMA...
Back
Top Bottom