Habarini.
Nina hitaji mtu yeyote anayeoma archeology hasa UDSM au chuo kingine.
Pia kama unamjua mwalimu anayefundisha somo hilo pia naomba mawasiliano yake.
Sababu ni kwamba nina mabaki ya mnyama (sijajua kama ni binadamu au la) ambayo niliyapata chini ya ardhi umbali wa futi 80 nilipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.