Recent content by MASALYA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?! Au ni hasira tuu za Escrow, na Katiba?!

    Nape na knana wamefanya kaz kubwa ila wanaangushwa na viongoz wasiowaadirif,kauri chaf(mtapigwa tu nk),mafisadi na wanaotafakar kwa tumbo waliomo ndani ya ccm
  2. M

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Kama ndivyo,basi hao jamaa hawafai kuwa viongoz ktk nchi hii.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Tumefedheheshwa Jaji Warioba kushambuliwa

    Hatua zichukuliwe kwa waloratibu vurugu hizo sio kupeleka mambo hovyohovyo na kusubiri yatokee yalompata warioba ndo waoneshe kufadhaishwa,huu ni unafiki
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Wabunge acheni uchama

    Wabunge wa Bunge maalumu la katiba waweke interest zao na vyama vyao kando ili waandae katba itakayokidhi mahtaji ya watz.Wasipe makof ovyo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la Katiba lapingwa mahakama kuu

    Hiyo taasisi iko sawa kwan haiingii akirin wajumbe hao wa Bunge maalumu kdai posho ya Tsh 300000/day haitoshi wakat mie raia wa kawaida hapa dodoma hyo ndo pato langu kwa mwaka.Anaeona posho haitoshi aende akafanye kaz inayompatia pesa nyng zaidi.
  6. M

Back
Top Bottom