Recent content by MASALA GASALIKILE

  1. M

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Tutakapokubaliana juu ya mfumo wa uzalishaji tutajibu maswali kama kwanini mtu mmoja anaweza kumiliki mabilioni na mwingine chakula cha siku moja ni issue na nchi bado ikawa tulivu. ni falsafa rahisi tu.
  2. M

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Hello, Mimi ni mgeni kwenye forum hii ila ni raia wa Tanzania. Kwa umuhimu wa topic hii ninaomba kuwasilisha mawazo yangu. Jambo ambalo ninaomba wadau tujadili kuhusu Katiba mpya ni mfumo wa uchumi ambao Katiba yetu tunayoitaka iuainishe. Katiba ya sasa ina ruhusu Mfumo wa Uzalishaji wa...
Back
Top Bottom