Recent content by masai96

  1. masai96

    SoC02 Mitandao ya kijamii ni fursa au ni mzigo kwa vijana wa kitanzania?

    Hii nimeandika kutokana na kuwa nilimshuhudia rafik yangu...ananunua bando ili aangalie vtu ambavyo sio vya msingi hata kwenye mitandao ya kijamii....lakini baadae ananizima hela ajipatie mahitaji ya msingi kabisa...nilipo fanya utafiti nikagundua sio yeye pekee...bali wengi wetu tume be...
  2. masai96

    Execution of court's decree

    Ni furaha yangu kama umeelewa
  3. masai96

    Execution of court's decree

    Maana yake ni kwamba...mshinda tuzo mahakamani yaani mtua aliyeshinda kesi ya madai...ule ushindi wake unachukuliwa kama mali...akitokea mtu mwingine ameshinda kesi nyingine dhidi ya yule aliyeshinda Kesi....ule ushindi unaweza kushikiliwa kama mali na kile kiasi cha mali kwenye ule ushindi...
  4. masai96

    Execution of court's decree

    A court's decree is the property capable of being attached and realized by the judgement creditor
  5. masai96

    SoC02 Mitandao ya kijamii ni fursa au ni mzigo kwa vijana wa kitanzania?

    1.0 Utangulizi 1.1 Mitandao ya kijamii imekua ni sehemu inayo wakutanisha watu kutoka pande mbalimbali za dunia, mitandao hii imeiminya dunia na kifanya ndogo kama kijiji kimoja. Kile kijiji ambacho taarifa husambaa mithili ya upepo wa kipupwe na kumfikia kila mwenye hamu ya kusikia. Mitandao...
Back
Top Bottom