Recent content by masabile

  1. M

    JamiiForums Kwa kwenye ndoa tu: Hivi kumkaribisha rafiki nyumbani ni kosa?

    Mapema saa ngapi? Jioni tunatoka wote kazini nampitia ofisini kwake?
  2. M

    JamiiForums Kwa kwenye ndoa tu: Hivi kumkaribisha rafiki nyumbani ni kosa?

    Kwetu palikua free sana,hata huyu jamaa alikaa sana home enzi yuko o level so ni kama ndugu kabisa,
  3. M

    JamiiForums Kwa kwenye ndoa tu: Hivi kumkaribisha rafiki nyumbani ni kosa?

    Ndio nimeona taarifa,kuwa jamaa atafika na ndege ya usiku atakuja kulala home, lakin mtu kanuna kwa kweli mabinti kuweni makini hapa nina hasira,nasafisha chumba mgeni afikie humu,
  4. M

    JamiiForums Kwa kwenye ndoa tu: Hivi kumkaribisha rafiki nyumbani ni kosa?

    Sure naona ni uchoyo tu,amekasirika na sioni cha kumkasirisha,nimemwambia sisi ni wanaume fighters wakat wowote mtu anasafiri,hamna muda wa kutoa taarifa siku mbili kabla au tatu,coz ni emergency
  5. M

    JamiiForums Kwa kwenye ndoa tu: Hivi kumkaribisha rafiki nyumbani ni kosa?

    Sikuona issue kuanza kumwambia mchana coz tunakutana mahali Wote afu tunaenda home,mi nilijua atafurahi kusiki tuna mgeni
  6. M

    JamiiForums Kwa kwenye ndoa tu: Hivi kumkaribisha rafiki nyumbani ni kosa?

    Wakuu, Nimeoa sasa nina mwaka mmoja. Imetokea kitu mke wangu kakasirika sana sa sijui ni kosa au sio kosa. Tunaishi Dar. Kuna rafiki yangu ambae tulisoma nae primary na secondary pia chuo UDSM kaniomba kufikia kwangu kwa siku moja. Yeye anaishi Mwanza anakuja Dar kufanya presentation just a...
Back
Top Bottom