Recent content by maryam33

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    ww kama unashindwa kunijibu acha tu mbona unafanya mambo kama sisi tunaosafika tumbo kila mwezi achia izo kakangu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Ok ahsante kwa maelekezo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Yeah wewe umenielewa vizuri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Hahahaha kwako tena apana kwa kweli nijilete mwenyewe[emoji23]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Wapi nielekeze basi ila nipate kwa bei iyo mm ni mgeni sijui shm izo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Naomba husika na mada apo juu naomba mwenye uzoefu anipe jina la lodge nzuri maeneo ayo isizidi 25 jamani sina hela bajeti yangu ndogo natokea pemba naitaji kukaa apo kwa siku 4 ila ninaemfata yupo na chumba kimoja tu. Naimani mutanisaidia
Back
Top Bottom