Recent content by Mary97

  1. Mary97

    Natafuta kazi za ndani Kigamboni

    Ningependelea ya kwenda na kurudi. Nina mtototo wa miaka mitatu, nikiondoka nyumbani jumla jumla nitakosa wa kunitunzia.
  2. Mary97

    Natafuta kazi za ndani Kigamboni

    Habari zenu. Naitwa Mary, Miaka 25. Elimu yangu cheti. Naishi karibu na cornerstone (kibada). Natafuta kazi za ndani za kwenda na kurudk huku Kigamboni. Kupika, kufua, usafi, kutunza watoto naweza. Mshahara angalau laki, nauli juu yangu. Kama ulipo nauli inazidi 400/= utanisaidia nauli. Siku...
Back
Top Bottom