Ndugu yangu pesa zinatafutwa, amani na upendo ndio mpango mzima hujaona matajiri lakini ndoa zao zinazama? Wana hela amani hamna mume kitanda chake na mke kitanda chake, mmependana nyie sio wazazi, mke ataacha wazazi wake nae ataambatana na mume wake nao watakuwa mwili mmoja
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.