Mimi nina jina moja hapa JF na wala sijawahi kujisajili jina tofauti na hili nililotumia leo. Nimekuwa msomaji wa muda mrefu na napenda kukuhakikishia kuwa hilo jina pamoja na kuwa linaelekeana na langu si langu.
Wana JF mara kadhaa wamekuwa wakimfananisha mchangiaji anayejiita Mwanjelwa na...
Salaam ndugu zanguni!
Nimekuwa mwanachama wa JF kwa muda japo nilikuwa sijaweka bandiko lolote. Napendelea zaidi kuwa msomaji na napenda sana jinsi watanzania wanavyoutumia uhuru wa kutoa maoni kupitia JF.
Niwapongeze waendeshaji wa mtandao huu kwa namna wanavyojitahidi kusimamia jukwaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.