Sina hakika kama nassari anaweza kumkopa mwigulu pesa,anachokifanya mwigulu ni kutaka kutupoteza watanzania toka kwenye maada ya yeye kutengeneza video ya rwakatare
Jamani wanachadema wenzangu mwigulu anatimiza unabii wa kuanguka kwa cvcm so hata mkimshauri vipi haita saidia kwani huyo ndo kati ya watu ambao wanatakiwa waipeleke ccm kaburini'kama alijua anataka kuiangamiza chadema kwa kutengeneza mikanda ya ugaidi asubiri kama ataiponya ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.