Mimi nimeona Speed imeshuka, nikapiga simu huduma kwa wateja wakaniambia watanirudia lkn moaka leo kimya, kumbe jamaa wana data cap... Ngoja niamie savanna tu.
Niwe tu mw
Niwe tu Mkweli Hii Speed ya TTCL Ni Fire aiseee... Kwa Mara ya Kwanza nimeweza kutumia Gb 200+ per day. Vodacom kipindi cha Nyuma ndio nilikuwaga natumia mpaka GB 100 per day ila siku hizi nilikuwa nikifika Gb 60 ni mara chache sana.
Leo TTCL wamekuja kunifungia Fibre yao, ila nimeshanagaa kwamba Password ya Router wao ndio wanaweza kuniadilishia na sio mimi , pia ata jina la WiFi siwezi kubadilisha mpaka wao, Na kibaya zaidi siwezi kuingia kwenye Ip Address🤦🏾♂️ kiukweli nimechoka kabisa...
Kuna mtu amenipa namba za Mawakala wao nimempigia ameniambia ni kweli wanatoa Router ya 5G kwa 100k wanakupa offer ya 30Mbps kwa mwezi alafu mwezi unaofuata utaanza kulipa hizo 30Mbps kwa 70k mwezi.
Kwa sasa ninatumia Router ya Vodacom kuna mtu aliniungia napata 30Mbps kwa 90k ila kwa hiyo Offer ya TTCL Nimeshawishika kuhamika huko na ntakuwa nalipia Package ya 100k kwa mwezi.
Nimewapigia watu wa TTCL Wameniambia Jumanne watakuja kujifungia ila nilipienKifurushi cha 100k Maana Fibre yao imepita katika eneo langu la kazi.
Pia kwa maravya kwanza nimeshawishika kuanza biashara ya Kuuza Internet...
Airtel miyeyusho sana niliinunua kwa mbwembwe nikatumia wiki moja nikawa nimemaliza 1Tb speed ikashuka nikaanza kupiga simu ndio nikaja kuambiwa kuwa wana data cap nikachoka kabosa😁😁😁
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.