Hii kauli ilitakiwa ije inbox kwamba kazi hii hapa usirudie kusema mshahara wowote ningeona kweli Una maanisha kimsingi anawashwa anayewashwa asiye washa hawezi elewa kama panawasha
Kuna Mwalimu Alisema usiwashauri Sana watu Wana Mipango Yao
Kuna usemi unasema usiwashauri Sana watu Wana Mipango Yao so kuliko kuonyesha uwezo wa kushauri ni vyema kutatua kwanza
Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
I am Winfrida holding a Bachelor’s Degree in Range Management, currently seeking job opportunities in this field. I am committed, skilled, and ready to contribute to sustainable land and resource management.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.