Ulikuwepo eneo la tukio, au ndio wote tuseme mana humu JF wote wajuaji kisha hamjioni kazi kusema ya wenzenu ya kwenu mmeyakalia. Mume wa Shamim ni drug Lord na anajulikana ht kwenye list ya majina waliotajwa na wafungwa wa China ametajwa.
Sababu wabongo mmezoea kusifia ujinga na hamtaki...
Naona unazunguka na majibu unayo. Hata km Mange ana hela, haimaanishi mtoto wake asifanye biashara km opportunity ipo.
Mbona Ridhwani Kikwete kagombea ubunge na baba yake ni Rais.
Nyie wanawake wa JF mna CHUKI BINAFSI
Mbona ni kawaida sana kwa watoto wa ma celebrities kufanya either biashara au kufanya kazi. Will Smith ni actor mkubwa sana angalia watoto wake. Yule wa kiume, Jade akiw chini ya miaka 10 ameanza ku act. Alikuwa na ulazima gani kufanya kazi. Na yule wakike ameanza kuimba skiwa 13, anaingiza hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.