Hiyo barua iko wazi Mkuu, hakuna kanusho lolote kwenye aya ya mwisho kwenye maneno uliyoyazungushia, huwa watu wanaamua kukaa kimya tu na mnaona mnaotukana kila uchao ndo wengi ila mjue tupo tunaosoma na kupuuza tu, sasa kama hata hilo ambalo liko wazi kabisa umeamua kupotosha si wote tunaweza...
Wema!!?? wema kwa mwanasheria ambaye anajua nje ya mipaka Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye nembo ya Taifa hivyo kumdhihaki ni kulidhihaki Taifa?!!! yajayo yanafurahisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania hatuwezi fanya ujinga huo, mtu alopigania nchi inyimwe misaada ambayo ingetumika kuboresha ustawi wa jamii leo analilia mshahara ambao wala hauvujii jasho!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jamaa bhana, na bado likiingia nchini lishughulikiwe, apigwe kesi ya utovu wa uaminifu ambayo itamzuia hata kugombea huo urais wa viwete wenzie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa chama cha walemavu nadhani, kachota pesa ya umma bila kuifanyia kazi, mashitaka ya utovu wa uaminifu yanamuhusu na kwa mujibu wa katiba hataruhusiwa kugombea.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.