Usipotoshe Watu, yawezekana hukua na sifa za kazi zinazotangazwa, Vijana wengi wamepata kazi kupitia matangazo haya. Tokea mwaka 2016 ninapost nafasi za kazi mbalimbali na zaidi ya vijana 64 wanaendelea na kazi - karibu tutembelee PSSSF Millenium Tower II Ghorofa ya 20 ujionee, ongeza sifa zako...