Recent content by Marilyn Monroe

  1. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 41 . Kufikia hapa tayari nilikuwa nimeshapata hisia kuwa hapa ndipo haswa mahala nilipotakiwa kuja, kwani kulionekana wazi kuwa ndipo mipango yote ya ngono za kule ndani ya kasino ilipokuwa ikifanyikia. Kulikuwa kuna masofa mazuri sana pale sebuleni nami nilianza kutembea mle ndani...
  2. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 40 Alizichukua zile pesa taratibu kutoka mkononi mwangu, lakini nilizing’ang’ania naye akashindwa kuzichukua. Tulitazamani tukiwa tumeshikilia zile pesa, kila mmoja akijaribu kuvutia kwake. Huku akinitazama kwa makini yule mama aliniambia. “Okay binti, umetaka jina la bosi wangu nami...
  3. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 39 Niliinuka na kuelekea sehemu iliyokuwa na vyoo vya akina mama ndani ya ile kasino ambayo sikupata taabu kuiona, nikiwa na matarajio kuwa huko ndiko ningewakuta wale akina mama. Haswa yule mmoja niliyemtambua kutoka kwenye picha ya Dick Bwasha. Kule chooni sikukuta mtu. Nilirudi...
  4. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 38 Hatimaye niliishia kuegesha gari yangu kando ya bahari ya Hindi eneo la Ocean Road na kubaki mle ndani nikitazama bahari huku nikisononeka peke yangu juu ya misiba ile iliyoniangukia kwa kishindo. Sasa niliuona kabisa mwisho wangu ukinikaribia kwani sikuwa na shaka kabisa kuwa...
  5. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 37 . Nilimgeukia na tukapungiana mikono kuagana, kisha nikamgeukia yule binti aliyefungua mlango. Nilimtaka radhi na kumuomba maji ya kunywa. Hii ilikuwa ni njia ya kumpoteza yule dereva wa teksi ili aelewe kuwa safari yangu iliishia kwenye ile nyumba, sikutaka ajue kuwa nilikuwa...
  6. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 36 Muuaji wa kukodiwa! Tanzania hii? Hapana hii sasa imekuwa kazi kubwa! “Kila la kheri Tigga, we have to go now(yatupasa twende sasa)” Aliniambia nami nikampungia mkono. Dokta Kashushu aliingia kwenye boti lake, na muda ule ile boti ikaanza kuondoka kwa mwendo mdogo. Nilisimama pale...
  7. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 35 “Siku moja nilitembelewa na watu nisiowafahamu ofisini kwangu, ambao walinitaka nifanye mambo kama yale niliyokuwa nikikufanyia wewe kule kwenye ile nyumba kwa mashinikizo ya Wagga Maingo...ila wao walinitaka nimfanyie rais....” “Whaaat?” Nilishitushwa na taarifa ile na kumgeukia...
  8. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 34 “Tuondoke haraka eneo hili!” John Vata alisema baada ya kumfungua yule nesi aliyerukwa akili na kumwacha akiwa amejilaza sakafuni naye kuiendea ile simu na kuanza kupiga kituo cha polisi kuwaarifu juu ya tukio lile, akiwapa maelekezo jinsi ya kufika pale. Kitendo kilichofuatia...
  9. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 33. Nilisikia sauti kwanza, halafu ndio nikaelewa kuwa nilikuwa nimezabwa kofi kali la shavu na yule daktari lililonipeleka na kunibamiza ukutani. Yaani sikupata hata nafasi ya kupiga yowe. “Don’t talk to me like that young lady!(Usinijibu namna hiyo bi mdogo!) Hujui ni kitu gani...
  10. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 32 “Hebu tulia basi, ebbo!Ni nani waliokuteka na uko wapi?” John Vata alinikemea, nikajilazimisha kutulia na kuongea kwa utulivu. “Nimetekwa na nimeletwa kwenye hospitali fulani...Nightingale Memorial Hospital...sijui iko wapi...” “Hakuna hospitali ya jina hilo hapa jijini. Ni nani...
  11. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 31. Hawa watu wanataka kunifanya kichaa...ee mwenyezi mungu nisaidie kiumbe wako! Kwa mara nyingine tena nilistaajabia umakini wa akina Martin Lundi katika kupanga maasi yao. Sasa nilielewa kabisa kuwa kuwekwa kwa ile kalenda mle ndani, na wale watu kuniita kwa jina lisilokuwa langu...
  12. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA 30. “Tulia Sylvia, utajiumiza bure kisura wangu! Tulia nikupe dawa! Usipotulia nitakuchoma sindano, lakini ukitulia nitakupa dawa ya vidonge tu umeze umesikia?” Nesi Tamala aliniambia kwa ukali nami nikabaki nikimtazama, nikishangaa kujisikia hamu kubwa sana ya kuangua kicheko. Sasa...
  13. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA. Ningeigundulia wapi The Rickshaw kwa jinsi ilivyokuwa imefichwa namna ile! Yaani ningezunguka mji mzima na ningeambulia patupu. Lakini sasa nilikuwa nimepagundua. Hapana shaka pale ndio kwenye majibu yote ya mkasa huu niliotumbukizwa bila ya ridhaa yangu. “Haya...
  14. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE. . Nilimtazama kwa kukata tamaa, kisha nikamfukuza chumbani kwangu, nikimwambia nataka kulala. “Usikonde shoga, nikirudi keshokutwa nitakukatia na wewe kidogo dogo, si unajua tena?” Aliniambia wakati akitoka. Nilimsukuma nje na kufunga mlango wangu. Mungu wangu...
  15. Marilyn Monroe

    Riwaya: Mkimbizi

    SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA. “Kwa hiyo wewe ndiye uliyewaeleza polisi kuwa mimi ndiye nilikuwa wa mwisho kuonana na Dick Bwasha?” Nilimuuliza kwa mshangao. “Mi’ nilikuacha na Dick Bwasha ofisini, sijakuona ukitoka! Sasa ulitarajia niwaeleze nini polisi?” Yule dada aliniambia kwa msisitizo...
Back
Top Bottom