Kamanda tuko pamoja, hakika tutashinda daima, mie naelekeza macho na msikio ngarenanyuki ili magamba wacje wakacaha chua ila nimeweka makamanda ili wazilinde kura za kamanda Nassari ambaye ni mbunge wetu.
Hakuna kulala, wakubwa kampeni kesho kutwa tuende ne mababu na bibi zetu.
chadema daima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.