Recent content by mariana kezia

  1. mariana kezia

    Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

    Wadau shalom, Tunaelekea miezi 2 sasa tangu tuamie kwenye nyumba yetu, ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi, mimi na mr wote tumeokoka pamoja na familia kwa ujumla, tunampenda Yesu. Sasa katika moja ya masaiti haya kuna jengo...
Back
Top Bottom