Recent content by mariamu malanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mbona Mimi nimeulizia halmashauri kwangu wameniambia Uhamisho wa kubadilishana upo kama kawaida ila ule wa mkato yaan kutumia hela ,cheti cha ndoa hakuna kwa sasa
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo nzega Tabora idara msingi kwan ww idara gan
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Huwez kusogea hapa nzega ni rahis kumpata mwingine wa kubadilishana kama utaridhia tufanye mchakato
  4. M

  5. M

    Ambaye yuko tayar kuja nzega Tabora mm niende Mbeya mjini,busikelo,Rungwe,kyera,au mboz no.yang ni 0786960626
  6. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Samahan nilikuwa nashindwa kuweka tangazo lakini nilipojarib tena nikawa nimefanikiwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ni mwl wa shule ya msingi iliyoko nzega Tabora natafuta mwl wa kubadilishana toka Rungwe Mbozi Kyela Mbeya mjini Mbeya vijijini Mbalali aliyetayari tuwasliane 0786960626
  8. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jaman wengine ni wagen katika jf Mimi mwenyewe nataka kuweka tangazo la kubadilishana
Back
Top Bottom