Recent content by mariam steven mgonglwa

  1. mariam steven mgonglwa

    JamiiForums Nasumbuliwa na tatizo hili kwenye koo

    Asnte king'asti
  2. mariam steven mgonglwa

    JamiiForums Nasumbuliwa na tatizo hili kwenye koo

    Habari zenu wana jf mwenzenu nasumbuliwa na mate mazito kitu kinanibana ndani ya koo wakati mwingine niki kohoa natoa vichembechemb vidogo vidogo vyeny halufu mbaya kam mtu mwenye tatizo la kunuka mdom naombeni meongozo madoctar ni tatizo gani hili santen
  3. mariam steven mgonglwa

    JamiiForums Msada wa tiba ya kukabwa koo

    Asante kwakumikumbush kuomb ndg yangu
  4. mariam steven mgonglwa

    JamiiForums Msada wa tiba ya kukabwa koo

    Asante ndg kwa ushauli natalaji nitafika
  5. mariam steven mgonglwa

    JamiiForums Msaada: Kuna kitu kinanikaba kwenye koo

    Nimekwend telethia ospitar nikaend ipogor ipamba
  6. mariam steven mgonglwa

    JamiiForums Msaada: Kuna kitu kinanikaba kwenye koo

    Niko iringa ndug
  7. mariam steven mgonglwa

    JamiiForums Msaada: Kuna kitu kinanikaba kwenye koo

    Thnks kwakunielewa bro sikuzote mgen lazm uchekwe ujifunze kesho
Back
Top Bottom