Luke Light Available
Portable & Flexible
Price = 140,000 per Box, 5000 per piece
Kwenye box zinakaa 40
Location: Currently in Korogwe ila nakufikishia kokote.
Waranty: Mwaka mmoja.
Hapana. Kama utakua unaongeza mara kwa mara kutakua haina haja ya jiko kama hili.
Hili jiko kutokana na kushika moto kwa haraka hata upishi wake hua haraka pia. Yaani inatakiwa uwe umeandaa unachotaka kupika kabisa kabla haujaliwasha tofauti na majiko ya kawaida ambapo mpishi huweza kuandaa...
Originally yametumiwa sana Kenya, na yanazalishwa huko pia. So usishangae kwanini kwenye boksi imeandikwa gharama ya mkaa ni Shilingi 50.
Pia ikionyesha kwamba kutokana na kutumia jikokoa unaweza okoa mpaka shilingi 18,000.
Kwa Tanzania inamaanisha unaweza kuokoa zaidi ya shilingi 360,000/=...
- Warranty ya mwaka mmoja.
- Linatumia nusu ya mkaa wa kwenye jiko la kawaida.
- Imara linadumu kwa zaidi ya miaka 4.
- Linashika moto kwa haraka.
- Price = 130,000 Tshs.
- Free Delivery.
- 0688006640
Habari,
Nawaletea hii fursa kutoka katika kampuni ya Solar Sister. Tunahitaji wajasiriamali ambao watakua wanasambaza bidhaa za Sola Sister maeneo waliyopo.
Huyu mjasiriamali atakua ananunua taa za sola kutoka kwa BDA kwa gharama ya chini kisha yeye ataziuza kwa wateja kwa kiasi ambacho...
Philips Lifelight 110 lm IP65
Ina solar panel yake
Ina uwezo wa kuwaka mpaka saa 20
USB port ya kuchajia simu
Battery laweza kubadilishika
Garantii ya mwaka 1
Bei: 40,000
NB. Bei inapungua kuanzia 5
Solar Lantern S100
Ina uwezo wa kuwaka mpaka muda wa saa 8
Garantii ya mwaka 1
Unapata na panel yake
Unapata adapta za kuchajia simu
Bei ni 25,000
Ukinunua kuanzia 5 bei inapungua.
Philips Solar Equip Lifelight Home
USB port ya kuchajia
Ina uwezo wa kuwaka mpaka saa 32
Unapata na paneli yake
Waya mrefu wa mita 5
Garantii ya mwaka 1
Bei: 100,000
NB. Kuanzia taa 5 bei inapungua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.