ado sijaelewa hasa CUF nao waliomba kumuona rais ili iweje?? yaani kama wake/waume wenza kwamba umemnunulia huyu kanga na mie nataka..au mbona huyu ulimfanyia huyu hivi na mie nataka..seriously???
Nakubaliana hatuhitaji kuchagua rais kwa vigezo vya uanamke au unaume (ambayo tumekua tukifanya for decades uanaume ndo sifa ya kwanza hata kama hatusemi)..tunahitaji mtu mwenye sifa..lakini what's wrong with what she said..kasema ni wakati wa mwanamke kuwa rais..fine wapo wanawake wanaoweza...
Unamaanisha nini unaposema anafikiri urais ni kama kitchen party..hao unaodhani ni strong wamelelewa na nani? fikiri kabla hujaongea ndugu haikugharimu chochote
Rweye..are you serious? kwamba waolewe tu kisa dini imesema? ili tuendelee kuwataawala hawa wanawake kila siku manake watakua hawana elimu wala kipato.Tunataka tuwaoze ili waendelee kubaki jikoni wkaitupikia sie wanaume tunasoma..baadae tuwaambie ni washamba tuoe wengine wanaoendana...
Rweye..are you serious? kwamba waolewe tu kisa dini imesema? ili tuendelee kuwataawala hawa wanawake kila siku manake watakua hawana elimu wala kipato.Tunataka tuwaoze ili waendelee kubaki jikoni wkaitupikia sie wanaume tunasoma..baadae tuwaambie ni washamba tuoe wengine wanaoendana nasi..yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.