Recent content by Maria Mahega

  1. Maria Mahega

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (part time job)

    Niko degree
  2. Maria Mahega

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (part time job)

    Mimi ni binti wa miaka 22 natafuta kazi part time job, ambayo nitaifanya baada ya kumaliza vipindi vyangu vya chuo na ambayo nitaifanya weekend, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na chuo changu Kiko dar es salaam posta. Tafadhali wanajamiiforums nisaidieni
  3. Maria Mahega

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wafanyakazi wa Ndani (House Girl na House Boy)

    Tafadhali Mimi naiitaji hii kazi nifanye hatua gani kwa ajili ya usahili
Back
Top Bottom