KUTOKA UGONJWA HADI FURSA.
Mwaka 2018 nikiwa na umri wa miaka 20 niligundulika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini (Hepatitis B) baada ya kuchangia damu katika Mpango wa Taifa wa Damu Salama.
Nilijawa na hofu kwasababu sikujua lini na wapi nimepata hayo maambukizi. Mwaka huo nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.