Recent content by Marcsy

  1. M

    Ole-Sendeka atimuliwa kikaoni na wananchi!!

    huyo mzee amekosea step. Labda angetokea pande za kati ambapo bado watu wanasujudu wizi wa mfumo tawala na chama chake. Kwa alichokifanya Ole, nikudhalilisha utu na heshima yetu Wamasai. Anastahili alichokipata. Rushwa ni adui wa haki na pesa sio kila kitu katika maisha. Pia kuwa ndumilakuili...
Back
Top Bottom