Ndugu zangu wanajamvi nawasalimu sana muungwana mwenzenu,
Bila kupoteza wakati naomba niende moja kwa moja katika hoja yangu. Sikuchache zilizopita mchungaji IKONGO wa kanisa PPFT aliitisha vyombo vya habari na kuzungumzia sakata la Askofu Gwajima, na Kutoa matamko mengi yanayo husu sakata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.