Recent content by Maranatha Alps

  1. M

    Toyota sequoia platinum 2014

    hahaaa haaa mkuu V8 ya 2014 ni zaidi ya hiyo yenyewe msrp ni 79605 USD (131.348,250 Tshs) so wakiamua kuchukua sequoia 2014 watakuwa wamejishusha kitu ambacho sidhani km wanaweza kufanya
  2. M

    Toyota sequoia platinum 2014

    wakuu naomba kwa mwenye information anijuze hivi hii SUV kuifikisha hapa Bongo inakuwa kiasi gani? ikiwa msrp (manufacturer's suggested retail price) ni 60,795 USD (100,311,750 Tshs).
  3. M

    King'amuzi cha kwenye laptop na computer

    please..mwenye uzoefu au alishatumia hii kitu anaweza akanisaidia mambo haya: quality ya picha, kinafanya kazi kwenye operating system yoyote, ni kwa digital au analogue channels....sijapenda kuwauliza wenyewe cause nataka uhakika wa aliyetumia
Back
Top Bottom