Wananchi watashiriki pamoja na vijana wao kuendeleza jamii zao. Kupitia mfumo huu wananchi watakuwa ndio wanaoamua ni matatizo gani ni ya kipaumbele kwao na yawe ya kwanza kutatuliwa, Matatizo ya jamii yataorodheshwa na kupigiwa kura katika mkutano wa kijiji au jamii
Mbaya zaidi na zaidi tunakufa na elimu zetu jamii ikiendelea kuishi na matatizo yaleyale kwa sababu ya kukosa mfumo bora na rahisi wa kutatua changamoto za jamii kupitia elimu iliyozalishwa na kupandikizwa kwa vijana wao waliowapeleka chuo
CHANGAMOTO KUU : Zaidi ya vijana 885,000 wanaohitimu masomo vyuoni kila mwaka hawana Ajira, Mbaya zaidi jamii zetu tunazotoka bado zina matatizo makubwa kama usosefu wa nishati bora, magonjwa yanayozuilika, Ukosefu wa vyoo safi, ukosefu wa chakula, mbinu mbovu za uzalishaji, ubovu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.