Recent content by Mapundam

  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya Afya imepuuza wito na maoni ya wananchi kwa viongozi wasio waadilifu waendelee kufaja kodi zetu na mali za umma?

    TAKUKURU na Katibu Mkuu Kiongozi tunaomba majibu na uwajibikaji kwa mujibu wa sheria
  2. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya Afya imepuuza wito na maoni ya wananchi kwa viongozi wasio waadilifu waendelee kufaja kodi zetu na mali za umma?

    Hivi karibuni kupitia jukwaa hili la JamiiForums, Wizara ya Afya iliombwa kutoa ufafanuzi wa wazi kutoka kwa viongozi wa Wizara ya Afya pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuhusu muendelezo wa teuzi zinazoacha maswali mengi kuliko majibu katika sekta yetu ya afya JAMBO...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya imekosa viongozi waadilifu hadi kuteua wenye tuhuma nzito za ufisadi?

    Cha kusikitisha ni mtu kujitamba kudhakilisha vyombo vyetu vya haki na usalama
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya imekosa viongozi waadilifu hadi kuteua wenye tuhuma nzito za ufisadi?

    Wizara ya Afya imekosa viongozi waadilifu hadi kuteua wenye tuhuma nzito za ufisadi? Kupitia jukwaa hili la JamiiForums, tunapenda kuhoji na kuomba ufafanuzi wa wazi kutoka kwa viongozi wa Wizara ya Afya pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuhusu muendelezo wa teuzi...
Back
Top Bottom