Recent content by mapengo

  1. mapengo

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

    Hivi huyu tido ni nani kama ni hicho cheo cheo ni dhamana na wala si kama sereksli ilivyofanya jamanii hivi kuna serikali kweli au ni serekali ya kulindana viongozi kwa viongozi kwa hiyo inamaana sheria tumetungiwa sisi tusio na hela wala vyeo serikalini? Sheria ni za wanyonge sio" Kosa...
  2. mapengo

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

    kama uliotea mzee haki haijatendeka kabisa naisistoshe ndugu wa mshitakiwa wamewapiga waandishi wa habari tena ndani ya mahakama kuuuu ya tanzania hiviiii hiii ni nchi au kwa kweli tuna takiwa kuamka dito alistaili kunyongwa kama ni hiv waachiwe na wengine kama wa kina babu seya
Back
Top Bottom