Recent content by Maoni ya Mzalendo

  1. Maoni ya Mzalendo

    Urafiki unavyoweza badili tabia ya mtu, ushauri wako ni wa muhimu sana kwangu

    Unabahati nami niko katika kozi ya kujifunza kuwa na uso wa mbuzi. Mungu anisaidie tu kwa kweli maana moja ya udhaifu nilionao siwezi mnyima msaada mwenye uhitaji kama ninacho hata kama mwenyewe hakinitoshi. Jamaa kanifanya nisiwe na rafiki wa jirani hivyo kila mtu namchukulia sawa na mwingine.
  2. Maoni ya Mzalendo

    Urafiki unavyoweza badili tabia ya mtu, ushauri wako ni wa muhimu sana kwangu

    Bado napokea ushauri kwanza. Namuomba Mungu aniongoze katika maamuzi yaliyosahihi cha muhimu ni amani ya moyo wangu.
  3. Maoni ya Mzalendo

    Urafiki unavyoweza badili tabia ya mtu, ushauri wako ni wa muhimu sana kwangu

    Kaka hujui tu. Sidhani kama kuna ambaye anaweza chomwa na mwiba mguuni na asiwe na mpango wa kuutoa ili atembee kwa amani. Omba lisikukute kwani litakufanya usiwe na rafiki wakati marafiki ndio mtaji wa muingiliano katika jamii
  4. Maoni ya Mzalendo

    Urafiki unavyoweza badili tabia ya mtu, ushauri wako ni wa muhimu sana kwangu

    Kiwanja kimoja documents zote ziko sawa na ninazo ila cha pili ndiyo kaziyumbisha kwa nia ovu. Ila vyote viwili kavishikiria. Kuhusu mtaji nilifanya kila kitu na uzuri nilimuandikia chq. Nikamwambia mpaka atimize masharti ya document ndipo nitaruhusu benki imlipe na alifanya kama ninavyotaka...
  5. Maoni ya Mzalendo

    Urafiki unavyoweza badili tabia ya mtu, ushauri wako ni wa muhimu sana kwangu

    Wazazi wake ndio wanaishi huko Kihonda si mwenyeji sana ila ni kule juu kabisa karibu na mizani. Kama unaenda Dodoma mkono wa kushoto.
  6. Maoni ya Mzalendo

    Urafiki unavyoweza badili tabia ya mtu, ushauri wako ni wa muhimu sana kwangu

    Hamna tatizo alikuwa anajaribu kuniambia kuwa maelezo marefu mno ila kwa bahati mbaya nimejaribu kufupisha sana kwani sio rahisi sana kuandika historia ya mateso ya miaka zaidi ya saba kwa maelezo mafupi. Naomba anisamehe ila ushauri wake ungeweza nifaa endapo angepata wasaa wa kusoma.
  7. Maoni ya Mzalendo

    Urafiki unavyoweza badili tabia ya mtu, ushauri wako ni wa muhimu sana kwangu

    Dah! Napokea ushauri wako. Ila ni sawa na kuwa chini ya ulinzi na adui kuruhusu mbwa ale nyama inayoonekana kny jereha la kidonda mguuni mwako. Maumivu makali ila huoni njia rahisi ya kukwepa mateso.
Back
Top Bottom