Hizi fedha walipaswa wawalipe watoa huduma binafsi ambayo ni makampuni ya kukodisha mahema, huduma ya chakula na mahoteli. Hivyo Serikali ya Saudi Arabia haihusiki, ni madeni wanayodaiwa na makampuni binafsi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.