Wananchi waomba Serikali kuchukua hatua juu ya ofisi ya uhamiaji wilayani Kibaha mjini kwa kukwama kwa maombi ya passport kwa miezi kadhaa iliyopita, maafisa wakidai ni tatizo la kimfumo na hawasemi lini litakuwa sawa hivo linaleta ukakasi kwa wananchi ambao wamefanya maombi ya passport waomba...
Ni muda mrefu tangia wananchi hao kufanya maombi ya passport pale uhamiaji kibaha mjini inakaribia mwaka wananchi hawajapata passport za na hawajui wapi waende ili wapate haki zao ikiwa kama inchi yenye kupenda maendeleo ya wananchi wake na maendeleo ya taifa si vyema kuona mpaka sasa ili swala...
Wananchi waomba Serikali kuchukua hatua juu ya ofisi ya uhamiaji wilayani Kibaha mjini kwa kukwama kwa maombi ya passport kwa miezi kadhaa iliyopita, maafisa wakidai ni tatizo la kimfumo na hawasemi lini litakuwa sawa hivo linaleta ukakasi kwa wananchi ambao wamefanya maombi ya passport waomba...
Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport.
Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya.
Je ni haki?
Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.