Recent content by Manyema Sultanate

  1. Manyema Sultanate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamanyema katika desturi na mila zetu mtoto wa kiume huchaguliwa mke na Baba yake na mahari ya kijana anapaswa kulipa Baba

    Na pia mahari hutolewa na Baba nasio kijana muoaji. Hivyo Baba huwa na jukumu la kumtafutia mke kijana wake na pia huwa anajukumu la kumlipia mahari. Hii ndio mila yetu sisi Wamanyema. Ni marufuku kijana kutafuta mke na kumposa. Ni lazima mke wa kwanza atafutwe na Baba na Mahari alipe Baba.
Back
Top Bottom