Recent content by Manyasi jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya 10% Kigamboni, shida ipo wapi.?

    Mikopo ya 10% Wanawake na Vijana Kigamboni tumesainishwa mikataba tangu September lakini mpaka leo hatupewa fedha. Sisi vikundi vya wanawake na vijana katika halmashauri ya wilaya ya Kigamboni tuliopitishwa kupata mikopo ya 10% ya mapato ya halmashauri tulisaini mkataba wa kupewa mikopo hiyo...
Back
Top Bottom