Recent content by mansury

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wanajamii wa haraka unahitajika.

    Kweli ilikua mtandao maana niliangaika sana lakini sasa good! asante kwa ushauri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Water Sanitation and Engineering

    Asante kwa ushauli wako mkuu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Water Sanitation and Engineering

    Hiyo campuny ya konoike office zao zipo sehemu gani naomba nisaidie
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Water Sanitation and Engineering

    Sawa nashukulu kwa ushauli wako!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wanajamii wa haraka unahitajika.

    Habari za sikukuu ngugu ,jamaa na marafiki kwa jumla !Naomba mnisaidie kitu kimoja nilikua najaza form ya scholership lakini kuna kipengele kimegoma ambacho ni country residence kinagoma nikijaza nakuta hakikubali naomba msaada kwa yeyote anayetambua asante.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajira zimekuwa ngumu?

    Vijana tubadilikeni tukifanya makosa tena ndani ya miaka kumi ijayo tutapata adhabu kama hii tuchague viongozi wanajali vijana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vyeti vimeokotwa

    mungu akujalie sana kwa jinsi ulivyo jitahid kutanga hil tangazo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Civil Engineering job

    Tatizo wabongo hawapendi kujitolea ndio tatizo .Kumbuka watu wapo mtaani na vyeti vyao vya engineering kaka usidharau kazi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Water Sanitation and Engineering

    Natafuta kazi nimesomea WATER SUPPLY AND SANITATION ENGINEERING kwa ngazi ya Diploma . Nina uwezo wa kufanya kazi kwenye miladi ya maji pamoja na ujenzi #0714067351 .
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha hii kazi, Nisaidieni

    Ndugu usiache kazi huo mshahara mkubwa sana .Huoni wanafunzi wanahitimu chuo kikuu wanaomba nafasi za kujitolea ,utajilaumu usifanye hivyo nakushauli komaa huku ukitafuta kazi nyingine.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Natafuta kazi nimesomea WATER SUPPLY AND SANITATION ENGINEERING kwa ngazi ya Diploma.
Back
Top Bottom