yn nimeenda apo chuon nimeambiwa niende nikafnye
registration kwa ajil ya kuingia chuon rasmi ila kupitia mfumo wa nacte bd cjchaguliwa jee naweza kwenda na hakutokuua n shda yyte au bora nicubir majib msaada plz
jmn msaada kdgo mm nimeomba afya ila seletion ya kwnza ckupta so nasubiria ya pli ila kuna chuo nimeomba bila kupitia mfumo wa nacte ya nimeenda hpo chuon hswa na nimeambiwa nikafnye registration na iko chuo kimeshasajiliwa hakina shaka ila shda yng natka kujua hakutokua na mashaka yyte hpo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.