Habari wana jukwaa na wawekezaji wote. Mimi ni mjasiriamali mwenye uzoefu wa miaka minne katika sekta ya ujenzi hapa Mapinga Bagamoyo.
Eneo hili lina kasi kubwa ya ujenzi wa makazi kwa sasa.Mradi wangu unaunganisha vifaa vya ujenzi yaani hardware pamoja na karakana ya kutengeneza mageti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.