HAKI ZA BINADAMU
Hizi ni haki ambazo mtu anazipata mara tu anapozaliwa, na anaendelea kuwa nazo hadi kifo chake. Kwa maneno mengine, kitendo cha kuzaliwa ukiwa mwanadamu na si kiumbe kingine kinakupa moja kwa moja haki fulanifulani ambazo viumbe vingine havina. Kwa hiyo, haki za binadamu zipo...
Serekali ya Tanzania ya awamu ya sita Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza linatakiwa kuwa utawala Bora siasa safi, Amani ya kwa wote usawa ,ukusanyaji wa kondi ,elimu Bora ,afya nk
Uchumi: suala la uchumi linatakiwa liangaliwe kwenye jicho la karibu na elimu itolewe kwa walipa Kodi Ili kukuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.