Kwa mwenye ufahamu wa second selection 2017/2018
Zinatoka lini naomba kufahamishwa muda gani
Na je kwa ile orodha yote walioorodheshwa kwamba "wanafunzi watakaochaguliwa awamu ya pili kwenda kidato cha tano 2017/2018" wote watachaguliwa?
Msaada jamani, napenda kujua Lin zinatoka au kwenye hayo...
Jaman kwa anaefahamu second selection mwaka huu zinatoka muda gan na je kwa walio orodheshwa kwenye orodha ya wanafunzi watakao chaguliwa awam ya pili na tamisemi wote tutapangiwa shule?
Na ni muda gan kwenu wana jukwaa naomba usaidizi ili nifaham maan me nashindwa kuelewa
Nawasilisha ..
Sent...
Habari za majukumu wakuu
Nahitaji msaada toka kwenu kwa haya matokeo
History D
Kiswahili D
English C
Geography C
Chemistry D
Civics. C
Physics C
Bios C
B/mathematics D
Je? Kuna kusubiri second selection?
Ingawa Jina langu lipo kwenye second selection na kweny combination nimeandikiwa arts and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.