Recent content by manilagina

  1. M

    JamiiForums Tanzania UTAPELI wa Kazi za African Child Aid (CHUKUA TAHADHARI) | Beware of Scam

    hata hiyo fomu sikujaza, maana watapata details zangu bure za kunitapeli zaidi. Ukisoma hiyo email vizuri wanaanza kuwa umekuwa shortlisted, mara inaishia eti ili uanze kazi, sasa ni kipi. Niko shortlisted ama nimechaguliwa. Hapo ndo nilipotilia wasiwasi. Hofu ni wale watakaokuwa hawajapata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania UTAPELI wa Kazi za African Child Aid (CHUKUA TAHADHARI) | Beware of Scam

    Jamani tuwe makini. Kuna kampuni naona imejitokeza kwa kasi, African Child Aid inaitwa, wanatangaza kazi mbali mbali. Ukisha apply, utatumiwa email kuwa umekuwa shortlisted ila unahitaji Psychometric Test. Ukienda kwenye link walizokupa unaona test unalipia tena kwa MPesa, hapo ndo utapeli...
Back
Top Bottom